Uncategorized

FINAL EXAMINATION FOR NTA6 AND NTA4 WILL BE ON 28/06/2021

Mzazi mlipie mwanao ada kama anadaiwa kabla siku ya kufanya mitihani yao haijafika ili kuepuka usumbufu, Wanafunzi wote wanaodaiwa ada ya muhula husika hawataruhusiwa kufanya mitihani yao ya mwisho .