Chuo cha JR Institute Of Information Technology kinawakaribisha wahitimu wote wa kidato cha nne na sita kujiunga na chuo cha JRIIT kwa program za cheti na Diploma kama :- Chuo pia kimeanzisha kituo cha mitihani ya kurisiti(PC) na QT kuanzia January 2025
Jiunge nasi katika kozi za:- Chagua kozi moja usome Computer Application Bure