Chuo cha JR Institute Of Information Technology kinawakaribisha wahitimu wote wa kidato cha nne na sita kujiunga na chuo cha JRIIT kwa program za cheti na Diploma kama :- Computing and Information Technology (ICT) Business Administration Electronics and Telecommunication Engineering Graphics Design
Njoo sasa jisajili mapema kwenye ofisi zetu zilizopo maeneo ya Sakina Arusha au bonyeza link hapo juu ya APPLY ONLINE kujisajili