Uncategorized

DIRISHA LA UDAHILI KWA MWAKA WA MASOMO 2024/2025 – SEPTEMBER INTAKE LIMEFUNGULIWA RASMI

Chuo cha JR Institute Of Information Technology kinawakaribisha wahitimu wote wa kidato cha nne na sita kujiunga na chuo cha JRIIT kwa program za cheti na Diploma kama :- Chuo pia kimeanzisha kituo cha mitihani ya kurisiti(PC) na QT kuanzia January 2025

Read more