Chuo cha JR Institute Of Information Technology kinawakaribisha wahitimu wote wa kidato cha nne na sita kujiunga na chuo cha JRIIT kwa program za cheti na Diploma kama :-
- Computing and Information Technology (ICT)
- Business Administration
- Electronics and Telecommunication Engineering
- Graphics Design
