Related Articles
Ufadhili wa masomo kwa mkupuo wa marchi 2026
Posted on Author JRIIT
Kuna fursa ya ufadhili wa masomo kwa ngazi ya Diploma na Cheti kwa wahitimu wa kidato cha nne wenye ufauhulu wa division one, two na three. Wahi mapema nafasi ni chache
Wewe ni mhitimu wa kidato cha sita?
Posted on Author JRIIT
Jiunge nasi katika kozi za:- Chagua kozi moja usome Computer Application Bure